Chapisha

Kurekebisha mipangilio ya mtandao wa nyumbani

Unaweza kurekebisha mipangilio ya mtandao wa nyumbani.

Kukagua muunganisho wa seva

Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Mtandao] — [Uwekaji wa mtandao wa nyumbani] — [Uchunguzi wa seva] — fuata maagizo kwenye skrini ili utekeleze utambuzi.

Kutumia kitendaji cha kitungulizaji

Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Mtandao] — [Uwekaji wa mtandao wa nyumbani] — [Renderer] — chaguo unalotaka.

[Dhima ya Renderer]
Wezesha kitendaji cha kitungulizaji
Unaweza kucheza faili za picha/muziki/video katika kidhibiti (k.v., kamera ya dijitali) kwenye skrini ya TV kwa kutumia kifaa moja kwa moja.
[Udhibiti wa kufikia Renderer]
  • Chagua [Idhini Otomatiki ya Ufikivu] ili ufikie TV kiotomatiki wakati kidhibiti kinapofikia TV kwa mara ya kwanza.
  • Teua [Mipangilio Kaida] ili ubadilishe mipangilio ya kibali cha ufikiaji cha kila kidhibiti.

Kutumia kifaa cha mbali

Bonyeza kitufe cha HOME, kischa uteue [Mipangilio] — [Mtandao] — [Mipangilio ya kifaa cha mbali] — chaguo unalotaka.

[Dhibiti kutoka mbali]
Wezesha matumizi ya TV kutoka kwenye kifaa kilichosajiliwa.
[Batilisha usajili wa kifaa cha mbali]
Badilisha usajili wa kifaa ili ulemaze matumizi ya TV kutoka kwenye kifaa hicho.