Chapisha

Huwezi kupata kifaa kilichounganishwa cha BRAVIA Sync HDMI.

  • Kagua kwamba kifaa chako kinatangamana na BRAVIA Sync.
  • Hakikisha kwamba [Kithibiti cha HDMI] imesanidiwa kwenye kifaa kinachotangamana na BRAVIA Syncna [Mipangilio ya BRAVIA Sync] — [Udhibiti wa BRAVIA Sync] imesanidiwa kwenye TV.