Chapisha

Kifaa cha USB HDD hufanya kazi ijapokuwa hakijawashwa. (modeli za kurekodi kwa USB HDD pekee)

  • Huenda USB HDD iliyounganishwa ikazunguka au huenda kiashiria cha LED kikawaka wakati TV inapata data ya EPG wakati wa hali ya kusubiri.