Chapisha

Kutazama/kufuta maudhui yaliyorekodiwa (modeli za kurekodi za USB HDD tu)

Modeli za kurekodi USB HDD zina [Usanidi wa kifaa cha kurekodi] katika [Mipangilio] — [Kutazama runinga].

Kumbuka

  • Kitendaji hiki kinapatikana tu kwenye baadhi ya modeli barani Ulaya, Australia na nchini Nyuzilandi.

Kutazama maudhui yaliyorekodiwa

  1. Bonyeza kitufe cha TITLE LIST kisha uchague maudhui ya kutazamwa.

Kufuta maudhui yaliyorekodiwa

  1. Bonyeza kitufe cha TITLE LIST.
  2. Bonyeza kitufe cha ACTION MENU, na uchague yafuatayo kwa utaratibu.
    [Futa] — kipindi cha ili kufuta — [Futa]
    Ili kufuta vipindi vingi, teua vpindi vyote unavyotaka kufuta kabla ya kuteua [Futa].

Kwa maelezo kuhusu maana ya ishara zilizo katika orodha ya vichwa vilivyorekodiwa, angalia Kuelewa alama zilizoonyeshwa kwenye orodha iliyorekodiwa ya majina (modeli za kurekodi USB HDD pekee).