Chapisha

[Kutazama runinga]

  1. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Kutazama runinga] — chaguo unalotaka.

Chaguo zinazopatikana

[Idhaa]
Husaidi mipangilio inayohusiana na kupokea vipindi vya matangazo.
Kupata vituo vya dijitali
Kupokea matangazo ya dijitali
Ili kupanga vituo au kuhariri orodha ya vipindi
Kupanga vituo au kuhariri orodha ya vipindi
[Vidhibiti vya wazazi]
Husanidi mipangilio ya kifuli cha wazazi kwa matangazo na vipengee vingine.
[Ingizo za nje]
Husanidi mipangilio ya ingizo za nje na BRAVIA Sync.
Kwa maelezo kuhusu BRAVIA Sync, rejelea Vifaa vinavyotangamana na BRAVIA Sync.
[Usanidi wa kifaa cha kurekodi]
Husanidi mipangilio ya vifaa vya USB HDD vya kurekodi. (Huenda chaguo hili lisipatikane kulingana na modeli/eneo/nchi yako.)