Chapisha

[Onyesho na Sauti]

  1. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Onyesho na Sauti] — chaguo unalotaka.

Chaguo zinazopatikana

[Picha]
Husanidi mipangilio ya onyesho ambayo hurekebisha ubora wa picha, kama vile mwangaza wa skrini.
[Skrini]
Hurekebisha ukubwa wa skrini na msimamo.
[Sauti]
Husanidi mipangilio ambayo hurekebisha sauti.
[Zao la sauti]
Husanidi mipangilio ya uteuzi inayohusiana na spika.