Chapisha

[Mapendeleo ya Kifaa]

  1. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Mapendeleo ya Kifaa] — chaguo unalotaka.

Chaguo zinazopatikana

[Kuhusu]
Huonyesha maelezo kuhusu TV.
[Tarehe na saa]
Hurekebisha saa ya sasa.
[Lugha/Language]
Huchagua lugha ya menyu. Lugha ya menyu iliyoteuliwa pia itawekwa kuwa lugha ya kutambua kwa kutamka.
[Kibodi]
Husanidi mipangilio kwenye kibodi kwenye skrini.
[Sauti]
Husanidia mpangilio wa [Sauti za mfumo].
[Hifadhi]
Hubadilisha mipangilio inayohusiana na hifadhi ya data.
[Skrini ya kwanza]
Hugeuza vituo kukufaa vinavyoonyeshwa kwenye [Skrini ya kwanza] na hupanga programu.
[Google]
Sanidi mipangillio ya utafutaji.
[Taswira ya skrini]
Husanidi mipangilio ya kilezi.
[Eneo]
Husanidi mipangilio ya eneo ili kupata eneo la mtumiaji.
[Usalama na vizuizi]
Husanidi vikwazo kama vile kuwazuia watoto dhidi ya kutumia programu mahsusi.
[Ufikiaji]
Husanidi mipangilio ya vipengele na huduma za ufikiaji za kuwasaidia watumiaji kutumia vifaa vyao kwa urahisi.
[Weka upya]
Hurejesha TV kwenye mipangilio iliyotoka nayo kiwandani.
[LED ya uangazaji]
Husanidi mpangilio wa [LED ya uangazaji]. (Upatikanaji wa kitendaji hiki hutegemea modeli yako.)
[Nishati]
Hubadilisha mipangilio inayohusiana na matumizi ya nishati.
[Usanidi wa Mwanzo]
Huweka vipengele msingi kama vile mtandao na vituo kwa matumizi ya mara ya kwanza.
[Mipangilio ya modi dukani]
Huboresha onyesho la matumizi ya dukani kwa kuweka [Modi ya Demo], n.k.