Chapisha

Baadhi ya vituo vya dijitali vinakosekana.

Ili ubadilishe masafa ya uwekaji (yanapatikana kulingana na eneo/nchi yako)

Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uchague [Mipangilio] — [Kutazama runinga] — [Idhaa] — [Usanidi wa Idhaa] — [Usanidi wa dijito] — [Kutuni ya Dijito] — [Kiwango cha Kutuni Oto].

[Kawaida]
Hutafuta vituo vinavyopatikana katika eneo/nchi yako.
[Nzima]
Hutafuta vituo vinavyopatikana haijalishi eneo/nchi yako.

Kusasisha huduma za dijitali

Unaweza kuendesha [Kutuni kioto] baada ya kuhamia makazi mapya, kubadilisha watoa huduma, au kutafuta vituo vipya vilivyozinduliwa.

Kusanidi sasisho otomati za huduma

Tunapendekeza kwamba uweke [Usasisho Oto wa Huduma] kwa [Washa] ili uruhusu huduma mpya za dijitali kuongezwa kiotomati zikipatikana.

  1. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uchague [Mipangilio] — [Kutazama runinga] — [Idhaa] — [Usanidi wa Idhaa] — [Usanidi wa dijito] — [Usanidi wa Kiufundi] — [Usasisho Oto wa Huduma] — [Washa].

Ikilemazwa, utaarifiwa kuhusu huduma mpya za dijitali kwa ujumbe wa kwenye skrini na huduma hazitaongezwa kiotomatiki.

Kidokezo

  • Upatikanaji wa kitendaji hiki unategemea modeli/eneo/nchi yako. Ikiwa haupatikani, fanya [Kutuni kioto] ili uongeze huduma mpya.