Huwezi kupata kifaa kilichounganishwa cha BRAVIA Sync HDMI.
Teua kwenye maandishi ili uruke hadi kwenye skrini husika ya mpangilio.
Kagua kwamba kifaa chako kinatangamana na BRAVIA Sync.
Hakikisha kwamba [Kithibiti cha HDMI] imesanidiwa kwenye kifaa kinachotangamana na BRAVIA Syncna [Mipangilio ya BRAVIA Sync] — [Udhibiti wa BRAVIA Sync] imesanidiwa kwenye TV.