Chapisha

TV haiwezi kuunganisha kwa kifaa cha Miracast au kifaa kinachoingiana na Uasiki wa skrini.

  • Ikiwa kuunganisha kifaa cha Miracast (k.m., kompyuta) hakutafaulu, bonyeza kitufe cha (Teua ingizo), kisha uchague [Uakisi wa skrini] ili uonyeshe skrini ya kusubiri ya kitendaji cha Uakisi wa skrini na ujaribu kuunganisha tena.
  • Kama unatumia Uakisi wa skrini na kifaa kingine, zima kwanza Uakisi wa skrini na ujaribu tena.