Chapisha

Video au sauti wakati mwingine inakatika.

  • Vifaa vinavyotoa mawimbi ya redio, kama vile vifaa vingine pasi waya vya LAN au oveni za makrowimbi, huenda vikaingiliana na utendaji wa Uakisi wa skrini kwa kutumia LAN pasi waya. Weka runinga au vifaa vya Sony vinavyoingiana na Uakisi wa skrini (k.m. baadhi ya modeli za Xperia) mbali na vifaa kama hivyo, au vizime kama inawezekana.
  • Kasi ya mawasiliano huenda ikabadilika kulinga na umbali au vizuizi kati ya vifaa, usanidi kifaa, hali ya mawimbi ya redio, mbano wa laini au kifaa unachokitumia. Huenda mawasiliano yakakatika kwa sababu ya hali ya mawimbi ya redio.