Chapisha

Kutafuta kwa sauti

Rimoti ambazo zinakubali utafutaji wa sauti zina kitufe cha (Maikrofoni), na maikrofoni iliyoundwa ndani. Kwa kuongea kwenye maikrofoni, unaweza kutafuta maudhui mbalimbali.

  1. Bonyeza kitufe cha (Maikrofoni).
    LED kwenye rimoti itawaka.
  2. Ongea kwenye maikrofoni.
    Mifano ya usemi inaweza kuonyeshwa kulingana na modeli yako.

Wakati huwezi kutafuta kwa kutumia sauti

Sajili rimoti ya sauti ambayo ina kitufe cha (Maikrofoni) kwenye TV tena kwa kubonyeza kitufe cha HOME na kuchagua [Mipangilio] — [Mipangilio ya Rmt Padimguso]/[Udhibiti Mbali kwa Sauti].
Ikiwa una Rimoti ya Padimguso, sajili TV tena.
Mpangilio unaoonyeshwa unatofautiana kulingana na modeli yako.

Kumbuka

  • Muunganisho wa Intaneti unahitajika ili kutumia utafutaji wa sauti.
  • Aina ya rimoti inayotolewa pamoja na TV, na upatikanaji wa rimoti yenye maikrofoni iliyoundiwa ndani hutofautiana kulingana na modeli/eneo/nchi yako. Rimoti ya hiari inapatikana katika baadhi ya modeli/maeneo/nchi.