Chapisha

Vipengele vya ufikiaji

TV hii ina vipengele vya ufikiaji katika [Ufikiaji] kama vile ubadilishaji wa matini kuwa usemi kwa matini yaliyo kwenye skrini, kukuza ili kufanya matini kuwa rahisi kusoma, na manukuu.

Bonyeza kitufe cha HOME, kischa uchague [Mipangilio] — [Ufikiaji] ili usanidi vipengele vya kumsaidia mtumiaji.

Kidokezo

  • Ili utumie ubadilishaji wa matini kuwa usemi kwenye Mwongozo wa Usaidizi, tazama Mwongozo wa Usaidizi katika tovuti ya usaidizi ya Sony kwa kutumia kompyuta au simu maizi.

    http://www.sony-asia.com/support/
    QR code for the Sony support website
    http://www.sony-asia.com/support/