Chapisha

Kupanga vituo au kuhariri orodha ya vipindi

Unaweza kupanga onyesho la vituo kulingana na mpangilio wako unaoupendelea.

Kwa vituo vya dijitali

  1. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uchague [Mipangilio] — [Usanidi wa Idhaa] — [Usanidi wa dijito] — [Kutuni ya Dijito] — [Uhariri wa Orodha ya Prog.].
  2. Chagua kipindi unachotaka kukisogeza katika mkao mpya.
  3. Chagua mkao mpya ambapo unataka kusogeza kipindi ulichochagua.

Kwa vituo vya analogi

  1. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Usanidi wa Idhaa] — [Uwekaji wa analogi] — [Upangaji Vipindi].
  2. Chagua kipindi unachotaka kukisogeza katika mkao mpya.
  3. Chagua mkao mpya ambapo unataka kusogeza kipindi ulichochagua.

Kumbuka

  • Chaguo zinazopatikana hutofautiana kulingana na eneo/nchi yako.