Chapisha

Ainisho za mitambo ya video ya kompyuta

(Mwonekano, Masafa Wima/Masafa mlalo)

  • 640 x 480, 31.5 kHz/60 Hz
  • 800 x 600, 37.9 kHz/60 Hz
  • 1024 x 768, 48.4 kHz/60 Hz
  • 1152 x 864, 67.5 kHz/75 Hz (Modeli za 2K Full HD au modeli za 4K pekee)
  • 1280 x 1024, 64.0 kHz/60 Hz (Modeli za 2K Full HD au modeli za 4K pekee)
  • 1600 x 900, 56.0 kHz/60 Hz (Modeli za 2K Full HD au modeli za 4K pekee)
  • 1680 x 1050, 65.3 kHz/60 Hz (Modeli za 2K Full HD au modeli za 4K pekee)
  • 1920 x 1080, 67.5 kHz/60 Hz (Modeli za 2K Full HD au modeli za 4K pekee)*

* Muda wa 1080p, wakati inapotumika kwenye ingizo la HDMI, itashughulikiwa kama muda wa video na sio muda wa kompyuta. Hii itaathiri mipangilio ya [Skrini] katika [Onyesha]. Ili utazame maudhui ya kompyuta, weka [Modi Pana] kwa [Nzima], na [Eneo la Kionyesho] kwa [Piseli Kamili] (modeli za 2K) au [+1] (modeli za 4K). ([Eneo la Kionyesho] inaweza kuwekwa tu wakati [Eneo la Maonyesho Oto] imelemazwa.)

Ishara nyingine za ingizo za video

Umbizo zifuatazo za video zinaweza kuonyeshwa kulingana na ainisho kwenye kompyuta yako.

  • 480p, 480i
  • 576p*1, 576i*1
  • 720/24p
  • 720p/30 Hz, 720p/50 Hz*1, 720p/60 Hz
  • 1080i/50 Hz*1, 1080i/60 Hz
  • 1080/24p
  • 1080p/30 Hz, 1080p/50 Hz*1, 1080p/60 Hz
  • 3840 x 2160p/24Hz, 3840 x 2160p/25Hz*1, 3840 x 2160p/30Hz (Modeli za 4K pekee)
  • 3840 x 2160p/50Hz*1, 3840 x 2160p/60Hz (Modeli za 4K pekee)
  • 4096 x 2160p/24Hz*2 (Modeli za 4K pekee)
  • 4096 x 2160p/50Hz*1*2, 4096 x 2160p/60Hz*2 (Modeli za 4K pekee)

*1 Haikubaliwi kulingana na eneo/nchi yako.

*2 3840 x 2160 inaonyeshwa wakati 4096 x 2160 inatumika.

Kumbuka

  • Huenda1920 x 1080/60Hz isipatikane, kulingana na kompyuta yako. Hata kama pikseli 1920 x 1080/60Hz towe imechaguliwa, ishara halisi towe huenda ikatofautiana. Katika hali hii, badilisha mipangilio ya kompyuta, kisha uweke kompyuta yako itumie mitambo tofauti za video.