Kuunganisha Subwoofer Pasiwaya (ya hiari)
Unaweza kutumia Subwoofer Pasi Waya SWF-BR100 ili kuongeza besi ya sauti ya runinga.
Upatikanaji wa kipengele hiki hutegemea modeli/eneo/nchi yako.
TV ambazo zinakubali Subwoofer Pasi Waya huashiria “SWF-BR100” katika sehemu ya ainisho ya Reference Guide.
- Transiva Pasi Waya
- Subwoofer Pasiwaya SWF-BR100
- Kebo ya sauti
- Unganisha kebo ya sauti (iliyopo) kwenye Transiva Pasi Waya.
- Unganisha mwisho mwingine wa kebo ya sauti kwenye jeki ya AUDIO OUT / (Vifaa vya Masikio) (soketi) ya TV.
- Unganisha Transiva Pasi Waya kwenye kituo cha USB cha TV.
[Zao la Spika za Kivalia Kichwani/Sikizi] imewekwa kotomati kwa [Subwoofer]. - Weka Subwoofer Pasi Waya na uiunganishe kwenye nishati ya AC.
Tunapendekeza kwamba Subwoofer Pasiwaya iwekwe karibu sana na runinga iwezekanavyo.
Kidokezo
- Wakati Transiva Pasi Waya inapotenganishwa, [Zao la Spika za Kivalia Kichwani/Sikizi] hurejeshwa kiotomatiki kwa mpangilio wake asili.
- Kwa maelezo juu ya kusanidi Subwoofer Pasi waya, rejelea mwongozo wa maagizo uliotolewa na Subwoofer Pasi waya.