Chapisha

Wasifu zinazokubaliwa za Bluetooth

TV hukubali wasifu ufuatao:

  • HID (Wasifu wa Human Interface Device)
  • HOGP (Wasifu wa HID over GATT)
  • 3DSP (Wasifu wa Ulandanishaji 3D)*
  • SPP (Wasifu wa Vituo Mfululizo)

* Inapatikana kulingana na modeli/eneo/nchi yako.