Chapisha

[Upendeleo wa Mfumo]

Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Upendeleo wa Mfumo] — chaguo unalotaka.

Chaguo zinazopatikana

[Tarehe na saa]
Hurekebisha saa ya sasa.
[Lugha/Language]
Huchagua lugha ya menyu.
[Kibodi]
Husanidi mipangilio kwenye kibodi kwenye skrini.
[Google]
Husanidi mipangilio inayohusiana na kitendaji cha utafutaji.
[Ufikiaji]
Husanidi mipangilio ya vipengele na huduma za ufikiaji za kuwasaidia watumiaji kutumia vifaa vyao kwa urahisi.
[Skrini ya kwanza]
Hugeuza vituo kukufaa vinavyoonyeshwa kwenye [Skrini ya kwanza] na hupanga programu.
[Mipangilio ya modi dukani]
Huboresha onyesho la matumizi ya dukani kwa kuweka [Modi ya Demo], n.k.