Chapisha

[Akaunti]

Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Akaunti] — chaguo unalotaka.

[Google]
Hulandanisha akaunti zilizosajiliwa za Google au huondoa akaunti.
[Ongeza akaunti]
Huongeza akaunti mbalimbali za huduma kama vile akaunti za Google na akaunti za Sony Entertainment Network (SEN). Unaweza kuongeza akaunti nyingi za Google na ubadilishe kati ya akaunti hizo kulingana na programu.