Chapisha

Kuna kelele ya picha au sauti wakati wa kutazama kituo cha TV cha analogi.

  • Kagua mpangilio wa [Uwekaji kabla wa programu mwenyewe].

    Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Usanidi wa Idhaa] — [Uwekaji wa analogi] — [Uwekaji kabla wa programu mwenyewe].

    • Fanya [AFT] ili upate picha na sauti bora zaidi. (Jina la chaguo hutofautiana kulingana na eneo/nchi yako.)
    • Weka [Kichujio cha Sauti] kwa [Zima], [Chini] au [Juu] ili uboreshe mapokezi ya analogi.
    • Weka [LNA] kwa [Zima] ili uboreshe mapokezi ya picha. (Huenda [LNA] isipatikane kulingana na hali/eneo/nchi yako.)
  • Hakikisha kwamba antena (kinasa mawimbi) imeunganishwa kwa kutumia kebo ya coaxial ya 75-ohm ya ubora wa juu.
  • Weka kebo ya antena (kinasa mawimbi) mbali na kebo nyingine zinazounganisha.