Chapisha

Sauti ya kifaa cha masikio haiwezi kurekebishwa.

  • Ikiwa huwezi kurekebisha kifaa cha masikio kwa kutumia vitufe vya (Sauti) +/-, bonyeza kitufe cha ACTION MENU na uteue [Kiwango-sauti cha Spika za Kuvalia Kichwani].