Chapisha

Je, ni aina gani ya vifaa vinavyoweza kuunganishwa kwa kutumia utendaji wa Uakisi wa skrini?

  • Vifaa vilivyowezeshwa Wi‑Fi, kama vile simu mainzi na vijilaptopu, vinavyoauni Miracast vinaweza kutumiwa kufurahia uakisi wa skrini kwenye BRAVIA TV yako. Rejelea mwongozo wa maagizo wa kifaa chako cha Wi‑Fi ili ujue kama kinaauni Miracast. BRAVIA TV hufuata sifa za Miracast, lakini haihakikishi muunganisho mzuri kwa vifaa vyote.