Kifaa cha USB HDD hakiwezi kusajiliwa. (modeli za kurekodi za USB HDD pekee)
Teua kwenye maandishi ili uruke hadi kwenye skrini husika ya mipangilio.
- Kagua kama kifaa cha USB HDD kimeunganishwa kwenye kituo cha USB3 (bluu) kilichoashiriwa kama “HDD REC” (kwa modeli za 2K, kagua kama kimeunganishwa kwenye kituo cha USB2).
- Kama kifaa cha USB HDD kimeunganishwa vizuri kwenye kituo cha USB3 cha bluu (kituo cha USB2 cha modeli za 2K), kisajili kwa ajili ya kurekodi tena kwa sababu kimesajiliwa tayari kama kifaa kwa malengo mengine kando na kurekodi (kama vile hifadhi).
Kumbuka
- Ikiwa kuna vifaa vilivyounganishwa kwenye vituo vya USB1 na USB2, viondoe kwa muda mfupi wakati unasajili USB HDD.