Chapisha

Unataka kuzima mwangaza wa LED ili isiwake au kumweka.

Unaweza kukizima. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [LED ya uangazaji] — [Zima].

Kumbuka

  • Tunapendekeza kwamba usibadilishe mpangilio huu katika hali za kawaida kwa kuwa hutaweza kutambua kama TV inarekodi, imewashwa au umezimwa, au kipima saa kimewekwa.