Kutumia rimoti
Unaweza kuendesha vipengele vingi vya TV kwa kutumia vitufe vya (Juu) /
(Chini) /
(Kushoto) /
(Kulia) na
(Weka).
Muundo na vitufe vya kitanza mbali hutofautiana kulingana na mtindo/nchi/kanda yako.
Rimoti iliyojumuishwa hutofautiana kulingana na modeli yako. Kwa maelezo ya vitufe vya rimoti, rejelea Reference Guide.
- Tumia vitufe vya
(Juu),
(Chini),
(Kushoto) na
(Kulia) ili “kulenga” kipengee unachotaka.
- Bonyeza katikati ya kitufe cha
(Weka) ili kuchagua kipengee kilicholengwa kwa sasa.
Kurudi kwenye skrini ya awali
Bonyeza kitufe cha BACK.
Kidokezo
- Kwa maelezo mengine, angalia mada husika hapa chini au “Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara” kwenye Tovuti ya Msaada ya Sony.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu Usuluhishaji