Chapisha

Kucheza maudhui kutoka kwenye seva ya media

Unaweza kucheza faili za picha/muziki/video katika kidhibiti (k.v., kamera ya dijitali) kwenye skrini ya TV kwa kutumia kidhibiti moja kwa moja, ukiunganisha TV kwenye mtandao wa nyumbani kupitia kipanga njia. Kidhibiti kinapaswa pia kuwa kinatangamana na kitungulizaji.

Illustration of the connection method
  1. Kamera tuli ya dijitali (Kidhibiti)
  2. Kipanga njia
  3. Modemu
  4. Intaneti
  1. Unganisha TV kwenye mtandao wako wa nyumbani.
  2. Tekeleza kidhibiti ili kuanza kucheza maudhui kwenye skrini ya TV.