[Akaunti na Kuingia katika Akaunti]
Teua kwenye maandishi ili uruke hadi kwenye skrini husika ya mpangilio.
- Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Akaunti na Kuingia katika Akaunti] — chaguo unalotaka.
Chaguo zinazopatikana
- [Google]
- Hulandanisha akaunti zilizosajiliwa za Google au huondoa akaunti.
- [Ongeza akaunti]
- Huongezea akaunti ya Google. Unaweza kuongeza akaunti nyingi za Google na ubadilishe kati ya akaunti hizo kulingana na programu.