[Kiungambali na Vifaa vya Ziada]
Teua kwenye maandishi ili uruke hadi kwenye skrini husika ya mpangilio.
- Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Kiungambali na Vifaa vya Ziada] — chaguo unalotaka.
Chaguo zinazopatikana
- [Mipangilio ya Bluetooth]
- Usanidi wa usajili/ubatilishaji usajili wa vifaa vya Bluetooth.
- [Udhibiti mbali]
- Usanidi wa kuoanisha Udhibiti Mbali kwa Sauti