Kivuli au picha mbili hutokea.
Teua kwenye maandishi ili uruke hadi kwenye skrini husika ya mpangilio.
- Kagua miunganisho ya kebo au antena (kinasa mawimbi).
- Kagua mahali na mwelekeo wa antena (kinasa mawimbi).
- Bonyeza kitufe cha ACTION MENU, kisha uchague [Picha] — [Mipangilio bora] — [Mwendo] — [Motionflow] — [Zima].
(Kwa modeli zinazokubaliwa na [Motionflow] pekee)
Modeli zinazotangamana na [Motionflow] zina [Motionflow] katika [Mipangilio] — [Onyesho na Sauti] — [Picha] — [Mipangilio bora] — [Mwendo].