Chapisha

Kelele ya sauti.

  • Hakikisha kwamba antena (kinasa mawimbi) imeunganishwa kwa kutumia kebo ya coaxial ya 75-ohm ya ubora wa juu.
  • Weka kebo ya antena (kinasa mawimbi) mbali na kebo nyingine zinazounganisha.
  • Ili kuzuia uhitilafianaji na TV, hakikisha umetumia kebo ya antena (kinasa mawimbi) haijaharibika.