Chapisha

Sauti ya kifaa cha masikio/kifaa cha sauti cha Bluetooth haiwezi kurekebishwa.

  • Ikiwa huwezi kurekebisha sauti ya kifaa cha masikio au Bluetooth kwa vitufe vya (Sauti) +/-, bonyeza kitufe cha ACTION MENU na uchague [Kiwango-sauti cha Spika za Kuvalia Kichwani]/[Kiwango-sauti cha Bluetooth].

Modeli zinazokubali Bluetooth A2DP ambazo zinaweza kutumia vifaa vya sauti vya Bluetooth zina [Mlandanisho wa A/V] katika [Mipangilio] — [Onyesho na Sauti] — [Zao la sauti].