Una wasiwasi kuhusu kuchelewa kati ya picha na sauti.
Teua kwenye maandishi ili uruke hadi kwenye skrini husika ya mpangilio.
Ikiwa kifaa cha sauti cha Bluetooth kimeunganishwa
Picha na sauti hailingani kwa sababu sauti imekawia kwa sababu ya sifa za Bluetooth. Unaweza kurekebisha muda wa utoaji kati ya picha na sauti kwa kutumia mpangilio wa Mlandanisho wa A/V.
Ikiwa mfumo maalum wa sauti umeungnaishwa na kebo ya HDMI
Unaweza kurekebisha muda wa utoaji kati ya picha na sauti. Kwa maelezo kuhusu modeli zinazokubaliwa, rejelea tovuti ya usaidizi.