Wasifu zinazokubaliwa za Bluetooth
Teua kwenye maandishi ili uruke hadi kwenye skrini husika ya mpangilio.
TV hukubali wasifu ufuatao:
- HID (Wasifu wa Human Interface Device)
- HOGP (Wasifu wa HID over GATT)
- A2DP (Wasifu Mahiri wa Usambazaji Sauti)*
- AVRCP (Wasifu wa Rimoti ya Sauti/Video)*
- 3DSP (Wasifu wa Ulandanishaji 3D)*
- SPP (Wasifu wa Vituo Mfululizo)
* Inapatikana kulingana na modeli/eneo/nchi yako.
Modeli zinazokubali A2DP na AVRCP zina [Mlandanisho wa A/V] katika [Mipangilio] — [Onyesho na Sauti] — [Zao la sauti].