Chapisha

Kuna mabango/viteuzi juu au chini ya skrini.

Katika hali hii, huenda TV ikawa katika modi ya demo. Jaribu kutoka kwa hali ya demo.

  • Bonyeza kitufe cha HOME kwenye rimoti na uteue [Mipangilio] — [Mapendeleo ya Kifaa] — [Mipangilio ya modi dukani]. Lemaza [Modi ya Demo] na [Modi ya Kuseti Picha Upya].