Chapisha

Hakuna sauti lakini picha ni nzuri.

  • Angalia kidhibiti cha sauti.
  • Bonyeza kitufe cha (Nyamazisha) au (Sauti) + ili ughairi unyamazishaji.
  • Bonyeza kitufe cha ACTION MENU, kisha uchague [Vipaza sauti] — [Vipaza sauti vya runinga].
  • Ondoa vifaa vyovyote vya kichwa.