Chapisha

Ainisho za mitambo ya video ya kompyuta

(Mwonekano, Masafa Wima/Masafa mlalo)

  • 640 x 480, 31.5 kHz/60 Hz
  • 800 x 600, 37.9 kHz/60 Hz
  • 1024 x 768, 48.4 kHz/60 Hz
  • 1152 x 864, 67.5 kHz/75 Hz
  • 1280 x 1024, 64.0 kHz/60 Hz
  • 1600 x 900, 55.9 kHz/60 Hz
  • 1680 x 1050, 65.3 kHz/60 Hz
  • 1920 x 1080, 67.5 kHz/60 Hz*
  • Muda wa 1080p, wakati inapotumika kwenye ingizo la HDMI, itashughulikiwa kama muda wa video na sio muda wa kompyuta. Hii itaathiri mipangilio ya [Skrini] katika [Mipangilio] — [Mipangilio ya BRAVIA]. Ili kutazama maudhui ya kompyuta, weka [Modi Pana] kuwa [Piseli Kamili].

Ishara nyingine za ingizo za video

Umbizo zifuatazo za video zinaweza kuonyeshwa kulingana na ainisho kwenye kompyuta yako.

  • 480p, 480i
  • 576p*, 576i*
  • 720/24p
  • 720p/30 Hz, 720p/50 Hz*, 720p/60 Hz
  • 1080i/50 Hz*, 1080i/60 Hz
  • 1080/24p
  • 1080p/30 Hz, 1080p/50 Hz*, 1080p/60 Hz
  • 3840 x 2160p/24 Hz, 3840 x 2160p/25 Hz*, 3840 x 2160p/30 Hz (modeli za 4K pekee)
  • 3840 x 2160p/50 Hz* (modeli za 4K pekee)
  • 4096 x 2160p/50 Hz* (modeli za 4K pekee)
  • Haikubaliwi kulingana na eneo/nchi yako.

Kumbuka

  • Huenda 1920 x 1080/60 Hz isipatikane, kulingana na kompyuta yako. Hata kama pikseli 1920 x 1080/60 Hz towe imechaguliwa, ishara halisi towe huenda ikatofautiana. Katika hali hii, badilisha mipangilio ya kompyuta, kisha uweke kompyuta yako itumie mitambo tofauti za video.