Mipangilio mahiri ya “Pichaid=2101”
Ukurasa huu huweka mipangilio mbalimbali ya vipengele unavyoweza kusanidi katika [Modi ya Picha] na [Mahiri].
Kumbuka
- Onyesho halisi linaweza kutofautiana au baadhi ya mipangilio huenda isipatikane kulingana na modeli/nchi/eneo lako na maudhui unayotazama.
[Modi ya Picha]
| Mpangilio |
Maelezo |
| Wazi |
Picha yenye mipaka na ulinganishi ulioboreshwa. |
| Wastani |
Picha inayofaa kwa matumizi msingi ya nyumbani. |
| Sinema |
Picha mwafaka ya kutazama filamu. |
| Mchezo |
Picha inayofaa ya kucheza michezo ya video. |
| Michoro |
Picha inayofaa ya kutazama ratiba na wachezaji. |
| Picha |
Hali mwafaka ya kutazama picha. |
| Kaida |
Mipangilio iliyogeuzwa kukufaa ya picha. |
[Mahiri]
Mipangilio ya [Uangavu]
| Mpangilio |
Maelezo |
| Uangavu |
Rekebisha kiwango cha mwangaza wa runinga. |
| Linganua |
Rekebisha kiwango cheupe cha picha. |
| Gama |
Rekebisha usawazishaji wa mwangaza na giza. Ongeza mwangaza au punguza mwangaza kati ya weupe na weusi. |
| Kiwango cha weusi |
Rekebisha kiwango cheusi cha picha. |
| Rekebisha weusi |
Boresha weusi katika taswira kwa ulinganishi mzito zaidi. |
| Kiboresha bora cha ulinganuzi |
Rekebisha kiotomatiki ulinganishi kulingana na mwangaza wa picha. |
Mipangilio ya [Rangi]
| Mpangilio |
Maelezo |
| Rangi |
Rekebisha kiwango cha uzito wa rangi. |
| Marekebisho ya rangi |
Rekebisha hali za kijani na nyekundu. |
| Rangi ya Halijoto |
Rekebisha halijoto ya rangi. |
| Halijoto bora ya rangi |
Rekebisha halijoto ya rangi kwa kina. |
| Rangi Hai |
Boresha ubora wa rangi. |
Mipangilio ya [Uwazi]
| Mpangilio |
Maelezo |
| Ubora |
Rekebisha maelezo ya picha. |
| Uumbaji Ukweli |
Hurekebisha ubora na kelele ya picha ya kweli.
Ukichagua [Ya mkono], unaweza kurekebisha [Msongo]. |
| Upunguzaji kelele nasibu |
Punguza kelele ya kujirudia isiyokuwa na mpangilio. |
| Upunguzaji kelele dijitali |
Punguza kelele ya kufinyaza video. |
Mipangilio ya [Mwendo]
| Mpangilio |
Maelezo |
| Motionflow |
Huboresha picha zinazosonga. Huongezea idadi ya fremu za picha ili kuonyesha video kwa urahisi. Ukiteua [Kaida], unaweza kurekebisha mwenye [Ulaini] na [Usafi]. |
| Modi ya filamu |
Husadifisha ubora wa picha kulingana na maudhui ya video, kama vile sinema na michoro ya kompyuta. Huzalisha kwa urahisi mwendo wa picha za filamu (picha zilizorekodiwa katika fremu ya 24 kwa kila sekundi) kama vile filamu. |
Mipangilio ya [Chaguo za video]
| Mpangilio |
Maelezo |
| Masafa ya video ya HDMI |
Chagua masafa ya mawimbi ya ingizo la HDMI. |
Mipangilio ya [Weka upyaid=2011]
| Mpangilio |
Maelezo |
| Weka upyaid=2011 |
Rejesha mipangilio yote ya picha mahiri kwenye chaguomsingi la kiwandani. |