Chapisha

[Kithibiti cha wazazi]

Husanidi mipangilio ya udhibiti wa mzazi.

  1. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uchague [Mipangilio] — [Mipangilio ya BRAVIA] — [Kithibiti cha wazazi] — chaguo unalotaka.

Chaguo zinazopatikana

[Zima] / [Washa]
Hulemaza [Zima] au kuwezesha [Washa] udhibti wa mzazi kwenye TV.
[Kuzuia Ingizo ya Nje]
Huzuia maingizo kutazamwa.
[Vituo vimezuiwa]
Huzuia idhaa kutazamwa.
[Zuio za programu]
Huzuia vipindi kulingana na ukadiriaji wa nchi yako iliyoteuliwa (inapatikana kwenye nchi fulani pekee).
[Badilisha PIN]
Badilisha msimbo wa PIN kufikia mipangilio ya udhibiti wa mzazi.