[Kutazama runinga]
Teua kwenye maandishi ili uruke hadi kwenye skrini husika ya mpangilio.
Chaguo zinazopatikana
- [Idhaa]
- Husaidi mipangilio inayohusiana na kupokea vipindi vya matangazo.
- Kupata vituo vya dijitali
- Kupokea matangazo ya dijitali
- Ili kupanga vituo au kuhariri orodha ya vipindi
- Kupanga vituo au kuhariri orodha ya vipindi
- [Vidhibiti vya wazazi]
- Husanidi mipangilio ya kifuli cha wazazi kwa matangazo na vipengee vingine.
- [Ingizo za nje]
- Husanidi mipangilio ya ingizo za nje na BRAVIA Sync.
Kwa maelezo kuhusu BRAVIA Sync, rejelea Vifaa vinavyotangamana na BRAVIA Sync. - [Usanidi wa kifaa cha kurekodi]
- Husanidi mipangilio ya vifaa vya USB HDD vya kurekodi. (Huenda chaguo hili lisipatikane kulingana na modeli/eneo/nchi yako.)