Kusanidi TV
Menyu zilizoonyeshwa katika mipangilio ya TV hutofautiana kulingana na modeli/eneo/nchi yako.
- [Kutazama runinga] Husanidi mipangilio kama vile [Idhaa].
- [Onyesho na Sauti] Sanidi mipangilio kama vile [Picha] na [Sauti].
- [Mtandao na Intaneti]
- [Akaunti na Kuingia katika Akaunti]
- [Programu]
- [Mapendeleo ya Kifaa] Sanidi mipangilio kama vile [Kibodi], [Skrini ya kwanza], na [Ufikiaji].
- [Kiungambali na Vifaa vya Ziada] Sanidi mipangilio kaka vile mipangilio ya[Udhibiti mbali] na [Mipangilio ya Bluetooth].
- [Mipangilio ya paneli ya kitaalam] (kwa modeli zilizo na paneli ya OLED pekee)