Chapisha

[Akaunti na Kuingia katika Akaunti]

  1. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Akaunti na Kuingia katika Akaunti] — chaguo unalotaka.

Chaguo zinazopatikana

[Google]
Hulandanisha akaunti zilizosajiliwa za Google au huondoa akaunti.
[Ongeza akaunti]
Huongezea akaunti ya Google. Unaweza kuongeza akaunti nyingi za Google na ubadilishe kati ya akaunti hizo kulingana na programu.