Chapisha

[Kiungambali na Vifaa vya Ziada]

  1. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Kiungambali na Vifaa vya Ziada] — chaguo unalotaka.

Chaguo zinazopatikana

[Mipangilio ya Bluetooth]
Usanidi wa usajili/ubatilishaji usajili wa vifaa vya Bluetooth.
[Udhibiti mbali]
Usanidi wa kuoanisha Udhibiti Mbali kwa Sauti