Chapisha

Una wasiwasi kuhusu kuchelewa kati ya picha na sauti.

Ikiwa kifaa cha sauti cha Bluetooth kimeunganishwa

Picha na sauti hailingani kwa sababu sauti imekawia kwa sababu ya sifa za Bluetooth. Unaweza kurekebisha muda wa utoaji kati ya picha na sauti kwa kutumia mpangilio wa Mlandanisho wa A/V.

  1. Kuwezesha [Mlandanisho wa A/V], bonyeza kitufe cha HOME, kisha uchague [Mipangilio] — [Onyesho na Sauti] — [Zao la sauti] — [Mlandanisho wa A/V].

Ikiwa mfumo maalum wa sauti umeungnaishwa na kebo ya HDMI

Unaweza kurekebisha muda wa utoaji kati ya picha na sauti. Kwa maelezo kuhusu modeli zinazokubaliwa, rejelea tovuti ya usaidizi.