Chapisha

TV yako haiwezi kuunganisha kwa seva.

  • Kagua kebo ya LAN au muunganisho usiokuwa na waya kwenye seva yako na runinga yako.
  • Angalia ikiwa mtandao wako umesanidiwa ipasavyo kwenye TV yako.
  • Angalia kebo yako ya LAN/muunganisho usiokuwa na waya au seva yako. TV huenda imepoteza muunganisho na seva.
  • Tekeleza [Uchunguzi wa seva] li kuangalia ikiwa seva yako ya midia inawasiliana ipasavyo na TV. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Mtandao na Intaneti] — [Uwekaji wa mtandao wa nyumbani] — [Uchunguzi wa seva].