Chapisha

Huwezi kuzima onyesho la 3D wakati unatazama maudhui ya 3D. (Modeli za 3D pekee)

Modeli za 3D zina [Mipangilio ya 3D] katika [Mipangilio] — [Onyesho na Sauti].

  • Kwa maudhui ya 3D yanayoonyeshwa na ishara ya 3D, onyesho la 3D haliwezi kuzimwa kwenye TV yako. Zima mipangilio ya 3D kwenye kifaa kilichounganishwa (kama vile kichezaji Blu-ray).