Picha (ubora)/skrini
- Hakuna rangi/Picha ina giza/Rangi sio sahihi/Picha ina mwangaza sana.
- Picha iliyoharibika./Skrini humemeka.
- Ukubwa wa skrini/Umbizo la skrini/Hali pana hubadilika kiotomatiki.
- Skrini hubadilika kwa ghafla kwa video usioigundua wakati wa kutazama TV.
- Kuna mabango/viteuzi juu au chini ya skrini.
- Picha zenye mwonekano wa juu wa HDR hazionyeshwi.
- Picha ya 3D hazionyeshwi. Athari ya 3D ni duni. (Modeli za 3D pekee)
- Pau nyeusi hutokea pande zote za skrini wakati wa kutazama picha za 3D. (Modeli za 3D pekee)
- Huwezi kuzima onyesho la 3D wakati unatazama maudhui ya 3D. (Modeli za 3D pekee)
- Ujumbe [Ishara ya 3D I'nduliwa.] unatokea kiotomatiki wakati mawimbi ya 3D yanapogunduliwa. (Modeli za 3D pekee)
- Ujumbe kuhusu programu unaokuuliza kibali cha kufikia uendaji wa TV huonyeshwa.
- Skrini inakuwa na giza baada ya kipindi cha muda fulani. (kwa modeli zilizo na paneli ya OLED pekee)
- Ujumbe wa [Kuonyesha Paneli upya hakujakamilika] huonyeshwa. (kwa modeli zilizo na paneli ya OLED pekee)
- Una wasiwasi kuhusu picha kubakia. (kwa modeli zilizo na paneli ya OLED pekee)
- Mstari mweupe huonekana kwenye skrini. (kwa modeli zilizo na paneli ya OLED pekee)
- Haikamilishi kuonyesha paneli upya. (kwa modeli zilizo na paneli ya OLED pekee)