Chapisha

Ujumbe wa [Kuonyesha Paneli upya hakujakamilika] huonyeshwa. (kwa modeli zilizo na paneli ya OLED pekee)

Kuonyesha paneli upya huendeshwa kiotomatiki baada ya TV kutumika kwa kipindi cha muda mrefu ili kupunguza ubakiaji wa picha. Kama TV imewashwa, waya wa umeme wa AC (waya mkuu) imechomolewa, au halijoto iliyoko iko nje ya masafa kati ya 10°C na 40°C wakati wa kuonyesha paneli upya, mchakato huu hautakamilika na ujumbe huu utatokea.

  • Kama kuonyesha paneli upya kutaanza kiotomatiki, itaanza upya wakati unapozima TV kwa kutumia rimoti.
  • Kama kuonyesha paneli upya kulianzishwa kwa mkono, ni lazima uichague tena.