Chapisha

Kuangalia media ya Intaneti

Unaweza kutumia huduma za kutiririsha video kama vile YouTube™ na Netflix kutazama maudhui ya Intaneti. Huduma zinazopatikana zinatofautiana kulingana na nchi na eneo lako. Unaweza kuzindua huduma hizi kwa kuchagua vigae vyake katika Menyu ya Mwanzo.

Kumbuka

  • Muunganisho wa Intaneti unahitajika ili kutazama maudhui ya Intaneti.