Chapisha

Kurekodi kwa mguso mmoja (modeli za kurekodi USD HDD tu)

Modeli za kurekodi USB HDD zina [Usanidi wa kifaa cha kurekodi] katika [Mipangilio].

Kumbuka

  • Kitendaji hiki kinapatikana tu kwenye baadhi ya modeli barani Ulaya, Australia na nchini Nyuzilandi.
  1. Unapokuwa ukitazama kipindi ili kukirekodi, bonyeza kitufe cha REC.
  2. Katika skrini iliyoonyeshwa, weka muda wa rekodi kuanza. Ili kurekodi hadi kipindi kisha, chagua [Mbadala]. Ili kuweka urefu wa muda (dakika 1 hadi saa 8), chagua [Mtumiaji Aliyefasiliwa].

Ili kusitisha kurekodi wewe mwenyewe

  1. Bonyeza kitufe cha (Simamisha).
  2. Chagua [Sitisha] kwenye skrini iliyoonyeshwa.

Ili ubadilishe muda wa kuisha wa rekodi

  1. Bonyeza kitufe cha (Simamisha).
  2. Katika skrini iliyoonyeshwa, chagua [Rekebisha] ili ubadilishe muda wa kuisha wa rekodi.

Kumbuka

  • Kwa baadhi ya vipindi rekodi haiwezi kukomeshwa kwa kubonyeza kitufe cha (Simamisha). Ili kukomesha kurekodi kipindi kama hicho, bonyeza kitufe cha ACTION MENU, kisha uchague [ Simamisha KUREKODI].