Chapisha

Kuunganisha kompyuta na kuangalia maudhui yaliyohifadhiwa

Kuunganisha kompyuta

Tumia kebo ya HDMI kuunganisha kompyuta yako kwenye TV.

Illustration of the connection method
  1. Kompyuta
  2. Kebo ya HDMI (haijapeanwa)*

* Hakikisha unatumia kebo iliyoidhinishwa ya HIGH SPEED HDMI yenye nembo ya HDMI.

Kuangalia ainisho za ishara za video

Kutazama maudhui yaliyohifadhiwa kwenye kompyuta

Baada ya kuunganisha, bonyeza kitufe cha HOME, kisha uchague ingizo ambalo kompyuta yako imenganishwa.

Kukagua fomati za faili zinazokubaliwa

Kumbuka

  • Kwa picha yenye ubora wa juu zaidi, tunapendekeza kwamba uweke kompyuta yako itoe ishara za video kulingana na moja ya mipangilio iliyoorodhesha katika “Ainisho za ishara ya video ya kompyuta”.
  • Kulingana na hadhi ya muunganisho, huenda taswira iwe na waa au imeharibika. Katika hali hii, badilisha mipangilio ya kompyuta na uchague chanzo kingine cha mawimbi kutoka kwenye orodha ya “Ainisho za ishara ya video ya kompyuta”.